Mapenzi

Ishara 11 za mwanamke anayekupenda, lakini anashindwa kukueleza. 

Written by Mjuba

1. Kukupa majaribu madogomadogo ili kujua thamani yake kwako.
Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda na kumthamini au lah, mfano wa mambo hayo ni kama kujifanya anaumwa na kauangalia muitikio wako kwake, ili kutambua ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake.

2. Kugusa sehemu ya mwili wako.
Mwanamke anaekuwa na hisia za mapenzi huwa haoni aibu kugusa sehemu ya mwili wako. Anaweza kukushika mkono ama kukutomasa au hata kukumbatia kwa hisia za kimapenzi. Kwa kufanya hivyo huweza kujiwekea asilimia kadhaa za kujua kawa ni kwa asilimia kiasi gani anaweza kuwa na wewe kwenye mahusiano endapo ataweka wazi hisia zake kwako, na kwa mwitikio wako kwake, kutamrahisishia kazi ya kuwa na wewe kwa namna yoyote.

Bofya hapa kuendelea kusoma Ishara 11 za mwanamke anayekupenda, lakini anashindwa kukueleza. 

About the author

Mjuba

Leave a Comment